Makombora aina ya Scud ambayo Korea Kaskazini ililipua hivi karibuni
Jeshi la Korea Kusini linasema Korea Kaskazini imerusha makombora matatu ya masafa marefu baharini saa chache baada ya Rais wa Korea Kusini Park Geun-hye kukutana na Rais wa Uchina...
Loading...
WAZIRI MAHIGA KUSHIRIKI UANGALIZI WA UCHAGUZI WA WABUNGE KATIKA JAMHURI YA SHELISHELI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Augustine Mahiga akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Shelisheli, Alix Michel.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Augustine Mahiga akimtambulisha...
Filed Under:
home
KESI YA UPINZANI KUPINGA USHINDI YATUPWA MBALI ZAMBIA
Rais Edgar Lungu wa Zambia
Mahakama ya kikatiba nchini Zambia imetupilia mbali kesi ya mgombea wa urais wa chama cha upinzani cha United Party for National Development Hakainde Hichilema na mgombea mwenza Geofrey Bwalya dhidi ya uchaguzi wa rais...
Filed Under:
home
UJUE UWANJA WA AMAAN, ZANZIBAR
Uwanja wa Amaan mjiniUnguja ni wa kihistoria, japo wengi hawafahamu. Ulijengwa kwa msaada wa serikali ya China na ulifuynguliwa mwaka 1970, ukiwa ni mradi mkubwa wa nchi hiyo wa viwanja vya michezo barani Afrika. Michezo na sherehe nyingi hufanyika...
Filed Under:
Sports
DC NDEJEMBI AFANYA MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA LA WILAYA YA KONGWA NAKUBAINI UFUJAJI WA PESA
Mkuu wa wilaya ya kongwa, Mh Deogratius Ndejembi amefanya kikao cha baraza la wafanya biashara wa wilaya ya kongwa, likiwa linajumuisha wafanya biashara wote wakiwamo wafanya biashara za mazao, mifugo, na biashara zingine.
Kikao kilifunguliwa...
Filed Under:
home
MASHINDANO EAC YAANZA KIGALI TANZANIA YASHIKA NAFASI HII HAPA .

Wanamichezo wa Michezo ya majeshi kwa Nchi za Afrika Mashariki wakiingia Uwanjani wakati wa Ufunguzi wa Michuano hiyo uliofanyika katika Uwanja wa Amahoro Kigali Nchini Rwanda
Baadhi ya maofisa na Wanamichezo wa Michezo ya majeshi kwa...
MTOTO ALIYEWEKEWA BETRI KWENYE MOYO KURUHUSIWA KUPITA KWENYE MAENEO HAYA BILA KUKAGULIWA.

Kadi ya kumtambulisha mtoto Happiness John (5) kimataifa baada ya kufanyiwa upasuaji na kuwekewa betri ndani ya moyo inatengenezwa nchini Afrika Kusini. Happiness ambaye alifanyiwa upasuaji huo Julai 15 na kuruhusiwa kutoka hospitalini wiki moja iliyopita,...
Filed Under:
home
TUNDU LISSU AIJIA JUU SEKRETARIETI YA MAADILI .

TUMECHOKA kuvumilia! Ni kauli ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya kudai kusakamwa na Serikali .
Chama hicho kimetoa kauli hiyo leo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, baada ya Jaji Mstaafu, Salome...
Filed Under:
home
RC MONGELLA ATOA UFAFANUZI KUHUSU ZIARA YA RAIS MAGUFULI MKOANI MWANZA.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe.John Mongella (kulia) akitoa taarifa ya ujio wa Rais Magufuli mkoani Mwanza. Kushoto ni Katibu Tawala mkoani Mwanza, CP.Clodwig Mtweve.
**** Judith Ferdinand (BMG), Mwanza ****
Rais wa Jamuhuri ya Muungano...
Filed Under:
home
USAIN BOLT KUSTAAFU RIADHA MWAKANI
Mwanariadha Usain Bolt amedokeza kustaafu riadha ifikapo Februari mwaka 2017 baada ya michuano ya Mabingwa wa Dunia, na kuongeza kuwa hii itakuwa ni michuano yake ya mwisho ya Olimpiki kushiriki.
Mwanariadha huyo raia wa Jamaica anayeshikilia...
Filed Under:
Sports
DRAKE AFUNGUKA KUHUSU RIHANNA,
Rapa kutoka Canada, Drake alikuwa akitumbuiza katika ukumbi wa Madison Squre Garden huko New York weekend hii na kuonesha hisia zake za kumkubali Rihanna na kueleza kuwa anatamani na anaweza kuwa na mahusano na mwanadada Rihanna kama mambo yakiwa...
Filed Under:
home
ANIMALS - facts and info

Slow Lorises facts and info:
- Slow Lorises are primates/mammals originating from Southeast Asia.
- The Slow Loris possesses a toxic (strong venomous) bite. It is a very rare trait for a mammal indeed. The venom servers as a defence against enemy...
Filed Under:
Animal